JadeZ

Serikali yafunga shule ya Bombolulu Kibra

Serikali imefunga shule ya msingi ya Bombolulu mtaani Kibra huko usalama wa wanafunxi ukihofiwa. Shule hiyo ilifungwa rasmi na waziri wa Elimu George Magoha ambaye alizuru shule hiyo Jumatano, Septemba 25, huku akisema jengo la shule hiyo ni sawa na lile la Precious Talent ambalo lilibomoka. Habari Nyingine: Raila afichua kwa nini BBI iliundwa Akiongea na wanahabari Jumatano baada ya ziara yake shuleni humo, Magoha alisema ameamuru shule zote nchini kupigwa msasa ili kujua hali ya majengo yake.

The North and South Poles Are Melting. Time To Take it Seriously

Nothing on earth compares to the icy sweeps of the planet’s polar extremes. It’s why, perhaps, explorers and scientists who have been there often seek more distant analogies, describing the poles’ austere swaths of frozen terrain in lunar terms, unworldly with their slimmed-down palettes of white, black, and icy blues. Home only to the most exquisitely adapted organisms, the Arctic and Antarctic are largely lethal to humankind, unforgiving with their dark winters, harsh winds, and violent cold.

Umemwona msanii Bahati katika video za mziki na kwingineko lakini wajua aliyemsaidia kufika alipo sa

- Umemwona Bahati katika video za mziki na kadhalika, lakini umemwona mtu aliyemsaidia kufika alipo hii leo? - Mwimbaji huyo hivi majuzi alimtambulisha kakake mkubwa kwa ulimwengu, ndugu anayesema alimlea - Kulingana na Bahati, kakake Kioko alikuwa akichuuza mitumba na kufanya vibarua vyote duni ili kumtunza Mwimbaji maarufu wa injili Kevin Bahati ameyeyusha nyoyo za mashabiki wake na Wakenya kwa jumla baada ya kusimulia ulimwengu mojawapo wa visa vyake vya kuhuzunisha mno.